.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 29 Februari 2016

GOLIKIPA WILLY CABALLERO AIBEBA MANCHESTER CITY NA KUTWAA KOMBE LA CAPITAL ONE

Yaya Toure amefunga penati muhimu huku kipa wa Manchester City Willy Caballero akigeuka shujaa kwa kuokoa penati tatu na kuisaidia timu yake kutwaa kombe la Capital One, kwa ushindi wa mabao 3-1.

Golikipa Caballero alipangua penati zilizopigwa na wachezaji wa Liverpool Lucas Leiva, Coutinho pamoja na Lallan, katika mchezo ulioishia dakika 90 kwa sare ya 1-1, na kuamuliwa kwa mikwaju ya penati.
                                         Golikipa Willy Caballero akipangua penati kiufundi
                                              Golikipa Willy Caballero akiinasa penati nyingine 
Shujaa kipa Caballero akibebwa na kurushwa juu baada ya kuipa ushindi Manchester City

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni