.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 29 Februari 2016

MUIGIZAJI FILAMU LEONARDO DICAPRIO HATIMAE ATWAA TUZO YA OSCAR

Muigizaji filamu Leonardo DiCaprio ameshinda tuzo yake ya kwanza ya Oscar, baada ya kuteuliwa kuwania tuzo hizo mara sita.

Akitoa hutuba yake ya kukubali tuzo ya muigizaji bora katika filamu ya The Revenant, DiCaprio amesema hatupaswi kuchukulia poa sayari yetu, na yeye hachukulii poa usiku wa jana uliomtoa.

Waingereza Mark Rylance pamoja na Sam Smith walishinda tuzo ya waigizaji bora wasaidizi na wimbo bora wa asili. Filamu ya Mad Max: Fury Road, iliyoteuliwa kuwania tuzo 10 za Oscar, imetwaa tuzo sita.
          DiCaprio akimpongeza muigizaji Brie Larson ambaye alitwa tuzo ya Oscar

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni