.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 29 Februari 2016

MASHINDANO YA TIGO KILI HALF MARATHON YAFANA MJINI MOSHI

Maelfu ya wakazi wa Moshi na wanariadha mbalimbali wakifuatilia mashindano ya Tigo Kili Half Marathon katika mashindano hayo yaliyofanyika jana kwenye viwanja vya chuo cha Ushirika Mjini Moshi
Wafanyakazi wa kampuni ya Tigo wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya kuanza mashindano ya Tigo Kili Half Marathon katika mashindano hayo yaliyofanyika jana kwenye viwanja vya chuo cha Ushrika Mjini Moshi
Waziri wa habari, utamaduni, Sanaa na michezo Mhe. Nape mnauye ( katikati mwenye kofia) akisubiri kufungua mbio za Tigo Kili half Marathon 2016, mkoani Kilimanjaro, kulia kwake Meneja masoko Olivier prentout atika mashindano hayo yaliyofanyika jana kwenye viwanja vya chuo cha Ushrika Mjini Moshi .
Wanariadha wa Tigo Kili half Marathon wakisubiri kuanza mbio katika mashindano ya Tigo Kili Half Marathon katika mashindano hayo yaliyofanyika jana kwenye viwanja vya chuo cha Ushrika Mjini Moshi
 Wafanyakazi wa kampuni ya Tigo wakikimbia mbio za Tigo half Marathon   katika mashindano ya Tigo Kili Half Marathon  katika mashindano hayo yaliyofanyika jana kwenye viwanja vya chuo cha Ushrika Mjini Moshi   

Meneja chapa Tigo, William Mpinga akimalizia mbio za kilometa 21      katika mashindano ya Tigo Kili Half Marathon  katika mashindano hayo yaliyofanyika jana kwenye viwanja vya chuo cha Ushrika Mjini Moshi  
Wafanyakazi wa Tigo wakiwa kwenye water point kwa kutoa huduma kwa wakimbiaji   katika mashindano ya Tigo Kili Half Marathon  katika mashindano hayo yaliyofanyika jana kwenye viwanja vya chuo cha Ushrika Mjini Moshi  
Mzee mwenye Umri wa miaka 70 akiungana na wanariadha wenzake  katika mashindano ya Tigo Kili Half Marathon  katika mashindano hayo yaliyofanyika jana kwenye viwanja vya chuo cha Ushrika Mjini Moshi  
Wanariadha mbalimbali wakikimbia katika  katika mashindano ya Tigo Kili Half Marathon  mashindano hayo yaliyofanyika jana kwenye viwanja vya chuo cha Ushrika Mjini Moshi  
Mkurugenzi Mkuu wa Tigo, Diego Gutierrez nae akionyesha ushirikiano mzuri kabisa na wananchi kwa wa kuungana nao katika mashindano ya Tigo Kili Half Marathon  mashindano hayo yaliyofanyika jana kwenye viwanja vya chuo cha Ushrika Mjini Moshi
Mkurugenzi Mkuu wa Tigo, Diego Gutierrez  akipata huduma ya kwanza wakati akikimbia   na kumalizia kilomita 42 za kili marathon katika mashindano yaliyofanyika katika viwanja vya Chuo cha ushirika Mjini Moshi jana 
Meneja mkuu wa Tigo Tanzania, Diego Gutierrez akimaliza mbio za kilomita 42 za kili marathon katika mashindano yaliyofanyika katika viwanja vya Chuo cha ushirika Mjini Moshi jana 

.Meneja mkuu wa Tigo , Diego Gutierrez akipongezwa na mkiambiaji wenzie Mara baada ya kumaliza mbio za Kilimanjaro marathon za kilomita 42   katika mashindano yaliyofanyika katika viwanja vya Chuo cha ushirika Mjini Moshi jana 
 Waziri wa habari, utamaduni, Sanaa na michezo Mhe. Nape mnauye  akimkabidhi akimkabidhi hundi ya sh Milion 2 Bernard Matheka (mkenya miaka 27) baada ya kuibuka mshindi kwa upande wa wanaume  katika mashindano ya Tigo Kili Half Marathon kwa kukimbia kilometa 21 na kutumia saa 1.14.55  katika mashindano hayo yaliyofanyika jana kwenye viwanja vya chuo cha Ushrika Mjini Moshi

Baadhi ya washiriki waliopata bahati ya kuzawadiwa na Tigo kwenye mbio za Kili Marathon  katika mashindano hayo yaliyofanyika jana kwenye viwanja vya chuo cha Ushrika Mjini Moshi


 
 

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni