.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 26 Februari 2016

KINDA MARCUS RASHFORD AGEUKA SHUJAA NA KUING'ARISHA MANCHESTER UNITED LIGI YA UROPA

Kinda mshambuliaji Marcus Rashford amepachika mabao mawili akiichezea kwa mara ya kwanza timu ya wakubwa ya Manchester United na kuing'oa nje ya michuano ya Ligi ya Uropa hatua ya 16 bora.

Mabingwa hao wa Denmark walikuwa wanaongoza kwa ushindi wa mabao 2-1 walioupata katika mchezo wao wa awali, uliokuwa ukiwapa matumaini ambayo jana yaliyayuka baada ya kuchapwa 5-1. Na kutolewa kwa tafuati ya magoli 6-3.

Katika mchezo huo mabao yalifungwa na Bodurov aliyejifunga, Rashford dakika ya 63 na 75, Herrera kwa penati dakika ya 87 na kisha Depay kukamilisha karamu ya magoli katika dakika ya 90.
                         Memphis Depay akishangilia goli lake alilofunga dakika ya 90 
    Kocha Louis van Gaal akifuatilia mchezo huo pamoja na msaidizi wake Ryan Giggs

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni