.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumapili, 7 Februari 2016

KOREA KASKAZINI YARUSHA KOMBORA LA ROKETI LA MASAFA MAREFU

Nchi ya Korea Kaskazini imerusha kombora la roketi la masafa marefu, ambalo wakosoaji wake wamesema ni jaribio la tekonolojia ya silaha za masafa marefu zilizopigwa marufuku.

Televisheni ya umma imesema Korea Kaskazini imefanikiwa kufikisha setilaiti yake kwenye orbit.

Kurushwa kwa kombora hilo kumelaumiwa na mataifa ya Japan, Korea Kusini na Marekani, ambao wametaka kuitishwa kwa mkutano wa dharura wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa hii leo.
      Rais wa Korea Kaskazini Kim Jong-un akitia saini agizo la kurushwa kwa kombora hilo

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni