.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumapili, 7 Februari 2016

MSHAMBULIAJI JAMIE VARDY ATIA WINO KUENDELEA NA LEICESTER CITY KWA MIAKA MITATU

Mshambuliaji machachari Jamie Vardy ametia saini mkataba mpya wa miaka mitatu kuendelea na klabu yake ya Leicester City.

Mshambuliaji huyo Muingereza, 29, alijiunga na Leicester akitokea Fleetwood kwa uhamisho wa paundi milioni 1 mwaka 2012, na mabao yake yameisaidia timu hiyo inayonalewa na Claudio Ranieri kuongoza Ligi Kuu ya Uingereza.

Vardy amesema tangu ajiunge na Leicester timu hiyo imemuonyesha kuwa inaimani na yeye jambo ambalo ni rahisi kupima sasa imani hiyo ilivyomfanya aweze kuwa na kiwango bora cha kufunga mabao.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni