.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 5 Februari 2016

MAKUMI YA MAELFU YA WAKIMBIZI SYRIA WAELEKEA KATIKA MPAKA WA UTURUKI

Makumi ya maelfu ya wakimbizi wa Syria wanaelekea katika mpaka wa Uturuki, kukimbia mapigano makali karibu na mji wa Aleppo.

Waziri Mkuu wa Uturuki Ahmet Davutoglu, amesema wakimbizi wapatao 70,000 wanaelekea mpakani, huku makundi ya uangalizi yakisema idadi yao ni wakimbizi 40,000.

Mashambulizi makali ya vikosi vya Urusi yamesaidia kuimarisha vikosi vya jeshi la Syria, kusonga karibu na mji mkubwa wa nchi ya Syria wa Alleppo.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni