.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 5 Februari 2016

WAGOMBEA URAIS BI. CLINTON NA BW. SANDERS KUCHUANA KWENYE MDAHALO

Bi. Hillary Clinton na Bernie Sanders watafanya mdahalo wao wa kwanza wakiwa wawili katika kuelekea kuwania kuchaguliwa kugombea urais wa Marekani kwa tiketi ya chama cha Democratic.

Mdahalo huo wa kwenye Televisheni utakaofanyika huko New Hampshire ni wa kwanza tangu mbio za urais kwa chama hicho kuonyesha kabisa wiki hii kuwa ni kati ya wagombea hao wawili.

Wawania hao urais wa Marekani watachuana kuhusiana na sera za Wall Street pamoja na sera za nje za taifa hilo.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni