.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 5 Februari 2016

MWANAMKE WA KWANZA MWENYE MAAMBUKIZI YA ZIKA ABAINIKA ULAYA

Hispania imethibitisha kuwa mwanamke mjamzito mmoja amebainika kuwa na virusi vya Zika, ikiwa ni tukio la kwanza kabisa kutokea barani Ulaya.

Waziri wa Afya wa nchi hiyo amesema mwanamke huyo alikuwa amerejea hivi karibuni akitokea nchini Colombia, ambako inaaminika nipo alipopata maambukizi hayo.

Ugonjwa wa Zika, unaosambaa katika nchi za Amerika, umekuwa ukihusishwa na watoto wanaozaliwa na ubongo mdogo.
                                                                  Mbu wanaosambaza virusi vya Zika

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni