.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 5 Februari 2016

SHAKHTAR DONETSK YAMUUZA MCHEZAJI WAKE ALEX TEIXEIRA CHINA

Klabu ya Shakhtar Donetsk imekubali kumuuza mchezaji wake Alex Teixeira kwa klabu ya China ya Jiangsu Suning kwa kiasi cha paundi milioni 38.4.

Kiungo huyo Mbrazil alikuwa pia anawaniwa na klabu ya Ligi kuu ya Uingereza ya Liverpool, amekuwa ni miongoni wa wachezaji wa kiwango cha juu kununuliwa katika ligi ya China.

Mchezaji wa zamani wa Chelsea kiungo Ramires na aliyekuwa mshambuliaji wa Atletico Madrid Jackson Martinez nao wamehamia ligi ya China.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni