.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 5 Februari 2016

TIMU YA LAZIO IMEPIGWA FAINI YA PAUNDI 38,250 KWA UBAGUZI

Timu ya Lazio imepigwa faini ya paundi 38,250 baada ya mchezo wao wa jumatano dhidi ya Napoli kusimama kutokana na kusikika sauti za kibaguzi.

Klabu hiyo ya Roma, pia italazimika kufunga maeneo matatu ya kukaa mashabiki ya uwanja wake Stadio Olimpico katika michezo yake miwili ya ligi ya Serie A.

Mechi hiyo ilisimama kwa dakika tatu katika kipindi cha pili baada ya baadhi ya mashabiki wa Lazio kutoa sauti za kibaguzi zilizomlengia beki wa Napoli Kalidou Koulibaly.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni