Mpira ya tenesi ikionekana inarushwa
kwenye uwanja na mashabiki wa Borussia Dortmund waliokuwa wanapinga
kutozwa kiingilio cha paundi 31 kuuona mchezo huo wa robo fainali wa
Kombe la Ujerumani kwenye dimba la Mercedes-Benz ambapo Dortmund
ilishinda kwa mabao 3-1.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni