.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 10 Februari 2016

KOCHA JOSE MOURINHO ANUKIA KUTUA MANCHESTER UNITED

Rafiki wa karibu wa Kocha Jose Mourinho amesema mipango imekamilika kwa kocha huyo kuinoa Manchester United katika majira ya joto.

Gazeti la mail michezo lilibainisha mwishoni mwa wiki kuwa Mreno huyo yupo tayari kukubali kuchukua mikoba ya kocha Louis van Gaal.

Mourinho amekuwa hana kibarua tangu atimuliwe na Chelsea Desemba mwaka jana na imekuwa ikijulikana angefurahi kupata nafasi ya kuinoa Manchester United.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni