.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 10 Februari 2016

DONALD TRUMP NA SENETA BERNIE SANDERS WAONGOZA KURA ZA MAONI NEW HAMSPHIRE

Wawania urais wa chama cha Republican Donald Trump na wa Democrat Seneta Bernie Sanders wametikisa mbio za urais wa Marekani baada ya kushinda kwenye kura za maoni huko New Hampshire.

Billionea Trump anatarajiwa kushinda maradufu katika kura hizo kati ya wagombea wengine urais wa chama cha Republican.

Seneta Bernie Sanders, ambaye amemshinda mpinzani wake wa Democratic Bi. Hillary Clinton kwa kumuacha mbali amesema ushindi wake umeonyesha watu wanataka mabadiliko ya kweli.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni