.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 10 Februari 2016

WATAFITI WABAINI FARASA WANAUWEZO WA KUBAINI HISIA ZA MTU

Farasi wanauwezo wa kubaini kati ya sura ya binadamu mwenye furaha na mwenye hasira kwa mujibu wa tafiti.

Katika utafiti huo uliohusisha picha za wanaume, wanasayansi wa Chuo Kikuu cha Sussex wameonyesha kuwa farasi wa nyumbani walionyesha kugoma kuangali picha za watu wenye hasira.

Wanasayansi hao wamesema kitendo cha farasi kufugwa nyumbani ndicho kilichowapatia uwezo wa kuweza kubaini tabia na hisia za binadamu.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni