.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumapili, 21 Februari 2016

MWANAMUZIKI GEORGE MICHAEL AJIPANGA KUREJEA TENA JUKWAANI

Baada ya kuachana na muziki, kufuatia tukio la kukimbizwa hospitali akikabiliwa na hatari ya kupoteza maisha kwa nimonia, mwanamuziki George Michael anatarajia kurejea jukwaani.

Taarifa zilizopatikana zinaeleza kuwa George Micheal anatarajia kufanya ziara ya muziki katika kuibuka tena katika tasnia hiyo ya uimbaji.

Gazeti la The Sun limeripoti kuwa Michael, 52, atarejea jukwaani kutokana na marafiki zake kuhofia kuwa anaishi maisha ya upweke tangu aachane na muziki.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni