.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 18 Februari 2016

PAPA FRANCIS AWAOMBA WAFUNGWA HATARI NCHINI MEXICO WAWE MANABII WA AMANI

Papa Francis amewaambia wafungwa katika gereza la wafungwa hatari nchini Mexico wawe manabii na kutumia uzoefu wao wa kukaa katika hali ngumu gerezani kubadili hulka ya ghasi nchini humo.

Kiongozi huyo wa Kanisa Katoliki Duniani ametoa ombi hilo kwa wafungwa wa Ciudad Juarez, mji ambao uliowahi kujulikana kama mji wa mauaji, ikiwa ni siku chache tu kupita tangu ghasi za gereani kusababisha vifo vya wafungwa 49 nchini Mexican. 
     Papa Francis akipokea msalaba uliochongwa na mmoja wa wafungwa nchini Mexico

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni