.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 8 Februari 2016

PICHA ZA MTU ALIYELIPUA BOMU KWENYE NDEGE SOMALIA ZAONYESHWA

Mamlaka za Somalia zimetoa video inayomuonyesha abiria akipewa laptop iliyokuwa na bomu lililolipua sehemu ya ndege ya abiria na kupasua tundu.

Mtu anayetuhumiwa kuilipua ndege hiyo alirushwa nje ya ndege katika tukio hilo lililotokea muda mfupi baada ya ndege kuruka Jijini Mogadishu.

Zaidi ya watu 20 wamekamatwa kwa kuhusiana na tukio hilo, msemaji wa serikali ya Somalia amesema.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni