.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumamosi, 27 Februari 2016

WATU 30 WAUWAWA KATIKA MASHAMBULIZI YA ANGANI NCHINI YEMEN

Watu wapatao 30 wameuwawa katika mashambulizi ya anga kwenye soko karibu na Jiji la Sanaa nchini Yemen.

Wakazi wa eneo hilo wamenukuliwa na shirika la habari Reuters wakisema watu wapatao 30 wamejeruhiwa wengi wao wakiwa ni raia.

Haijafahamika nani haswa amefanya shambulio hilo. Watu wapatao 6,000 wameuwawa tangu Saudia Arabia na washirika wake waanze kuwashambulia waasi Machi mwaka jana.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni