Timu ya West Ham imeongeza rekodi ya
kutofungwa nyumbani kufikia michezo 13 baada ya kupata ushindi wa bao
1-0 dhidi ya Sunderland, katika mchezo wa Ligi Kuu ya Uingereza
uliomalizika
Bao la Michail Antonio lililofungwa
katika kipindi cha kwanza lilitosha kuipandisha West Ham hadi katika
nafasi ya tano ya msimamo wa ligi hiyo na kuinyima Sunderland nafasi
ya kujikwamu kutoka kundi la mkiani.
Kiungo wa West Ham Manuel Lanzini akimtoka Dame wa Sunderland


Hakuna maoni :
Chapisha Maoni