.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumamosi, 27 Februari 2016

MHADHIRI AJIUZULU KUPINGA SHERIA INAYORUHUSU SILAHA VYUO VIKUU

Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Texas nchini Marekani ameacha kazi kufuatia kupitishwa kwa sheria mpya ambayo inaruhusu wahadhiri na wanafunzi kuingia na silaha iliyofichwa kwenye majengo ya chuo.

Mhadhiri huyo Frederick Steiner amesema sheria hiyo haifai kwa elimu ya juu na haina maana yoyote. Sheria hiyo itaanza kutumika rasmi Agosti mwaka huu.
Maafisa wengi wa elimu ya juu na wanafunzi wanapinga sheria hiyo, ambayo huenda ikawafanya wanafunzi wasijiunge na vyuo vikuu vya Texas.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni