.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 18 Februari 2016

WATU WANANE WANASWA WAKITOA RUSHWA KWA WAPIGA KURA UGANDA

Watu wanane wamekamatwa na polisi kwa kufanya makosa ya uchaguzi, yakiwemo ya kutoa rushwa kwa wapigakura.

Watuhumiwa hao walikamatwa majira ya asubuhi leo katika bustani ya Bamukade huko Kireka wakigawa sukari, unga, chumvi na fedha kwa wapigakura.

Kamanda wa Siraje Bakaleke, mkoa wa kipolisi wa Kampala mashariki amesema watuhumiwa hao watafunguliwa mashtaka ya rushwa, kuwa na silaha hatari na kukusanyika kinyume cha sheria.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni