.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 18 Februari 2016

VIBAKA JIJINI LONDON WAMPIGA MTU ROBA YA NGUVU NA KUMUIBIA SAA

Picha za kuogopesha zimenaswa kwenye kamera ya CCTV baada ya vibaka wawili kumvamia mtu mmoja akiwa ofisini na kumpiga roba na kisha kumuibia saa yake ya mkononi ya thamani.

Tukio hilo limetokea huko Etham Jijini London nchini Uingereza ambapo vibaka hao walifanikiwa kuondoka na saa hiyo aina ya Rolex yenyethamani ya paundi 15,000. 
Kibaka mwenye fulana akiwa amempiga roba mtu. Roba ni roba iwe Mwananyamala ama London ukipigwa inabidi uwe mpole tu.
                   Jamaa akiwa hoi chini baada ya kula roba kutoka kwa vibaka hao
           Jamaa fahamu zimemrudia lakini ndio hivyo vibaka washasepa na saa 


Hakuna maoni :

Chapisha Maoni