.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 8 Februari 2016

WATUMISHI WA MISAADA UTURUKI WAJENGA MAHEMA KWA WAKIMBIZI WA SYRIA

Watumishiwa misaada wa nchini Uturuki wamekuwa wakijenga mahema na kugawa mahitaji muhimu kwa wakimbizi wapya wa Syria wanaoendelea kuingia kwenye mpaka wa Uturuki.

Wakimbizi 35,000 wamekimbia Syria kufuatia mashambulizi ya vikosi vya serikali katika mji wa Aleppo wiki iliyopita. Wakijaribu kuingilia kwenye mpaka wa mkoa mkoa wa Kilis Uturuki.

Hata hivyo Uturuki kwa sasa imefunga mpaka wake kwa wakimbizi wengi licha ya Umoja wa Ulaya kutaka waruhusiwe kuingia nchi hiyo.

Uturuki kwa sasa inahifadhi wakimbizi milioni 2.5 kutokea Syria wanaokimbia vita kwenye nchi hiyo.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni