.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 22 Machi 2016

AJALI YA MATATU YAUWA WAWILI NA KUJERUHI 27 NAIROBI


Watu wapatao wawili wamekufa katika ajali ya barabarani iliyotokea jana usiku katika barabara ya Mombasa nchini Kenya, karibu na kituo cha Standard Group, Jijini Nairobi.

Watu wengine 27 wamejeruhiwa katika ajali hiyo iliyosababishwa na dereva wa gari la abiria matatu aliyekuwa mwendo wa kasi na kujikuta likimshinda na kuagusha gari.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni