.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 22 Machi 2016

ISAYA CHARLES MWITA WA CHADEMA NDIYE MEYA WA JIJI LA DAR ES SALAAM

Chama cha Demokrasia na Maendeleo ( Chadema ) kimefanikiwa kutwaa Umeya wa jiji la Dar es Salaam. 

Katika uchaguzi huo uliofanyika leo katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam, Isaya Charles Mwita ( Chadema ) alifanikiwa kupata kura 84 waakati mpinzani wake Yenga Omari wa Chama cha Mapinduzi ( CCM ) alipata kura 67.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni