.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 18 Machi 2016

AMUUA BABA YAKE KIKATILI KWA MADAI YA KUMUIBIA JOGOO WAKE

Mahakama Kuu ya Tororo nchini Uganda imemuhukumu mwanaume mmoja miaka 29 jela baada ya kutiwa hatiani kwa kumuua baba yake kikatili.

Mwanaume huyo Silver Oketch mkazi wa Wikusi-Nyikisoza wilayani Tororo alihukumiwa adhabu hiyo na Jaji Mkazi wa Mbale Henry Kaweesi baada ya kukiri kosa.

Mtuhumiwa huyo alikuwa akishtakiwa kwa kosa la kumuua kwa kumkata kata kwa panga baba yake mzazi Sam Oketch kwa madai ya kumuibia kuku wake.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni