.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 25 Machi 2016

ANGEL DI MARIA NA GABRIEL MERCADO WAFUFUA MATUMAINI YA ARGENTINA

Magoli yaliyofungwa na Angel di Maria na Gabriel Mercado yamefufua matumaini ya timu ya Argentina ya kufuzu kutinga michuano ya kombe la dunia ya mwaka 2018.

Chile ilikuwa ya kwanza kupachika bao katika dakika ya 11 kupitia kwa Felippe Gutierrez, lakini Angel di Maria alisawazisha kwa shuti la kulia la kuzungusha mpira.

Mchezaji wa River Plate Gabriel Mercado aliipatia Argentina ushindi muhimu kufuatia shambulizi lililofanywa katika dakika ya 25.
                    Gabriel Mercado akishangilia bao alilofunga akiwa na Lionel Messi

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni