.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 17 Machi 2016

BAADA YA KUTIMULIWA KOCHA STEVE MCCLAREN APONDA RAHA CARIBBEAN

Kocha wa Newcastle United aliyetimuliwa kazi Steve McClaren ameonekana akifurahia wakati huu wa mapumziko bila ya kibarua baada ya kunaswa akiwa na mkewe Kathryn kwenye fukwe huko Caribbean.

McClaren alitimuliwa baada ya kuiongoza timu hiyo kwa miezi tisa akiwa St James' Park na baada ya hapo McClaren ameamua kupoteza mawazo ya kutimuliwa kazi kwa kujirusha ufukweni.
            Kocha McClaren akiendesha pikipiki ya majini akiwa amempakia mkewe 


Hakuna maoni :

Chapisha Maoni