.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 17 Machi 2016

VIONGOZI WA ULAYA KUKAMILISHA MAKUBALIANO KUHUSU WAHAMIAJI NA UTURUKI

Viongozi wa Umoja wa Ulaya wanatarajia kukutana kukamilisha makubaliano na Uturuki ili kudhibiti mgogoro wa wahamiaji.

Rais wa Baraza la Ulaya Donald Tusk amekiri kuwa kuna mambo kadhaa katika makubaliano hayo yanabakia kuwa hayajatatuliwa.

Waziri Mkuu wa Uturuki Ahmet Davutoglu anatarajiwa kuhudhuria mkutano huo kesho.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni