Wageni wa alikwa wakiwa wanashangilia ndani ya kiota kipya cha BATA VILA LOUNGE kilichopo sakina jijini Arusha wanakwambia apa ni fuluuuu Bata kwa kwenda mbele
Ulikuwa ni usiku wa staree tu ndani ya bata vila loungle sakina wanakuambia njoo usikilize mziki laini na wa kistaarabu
Chezea mtu na shemeji yake wewe nao walikuwa wanapata raha ndani ya ukumbi mpya wa bata vila sakina ni shidaaaaaaaaaaaaaa
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni