.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 7 Machi 2016

DK SHEIN ASHIRIKI MAZIKO YA ALI MWINYI MSUKO NA MARIUM RAMADHAN HAJI

72c8d365-2c1a-4888-b32e-b5439d7b471ass
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) pamoja na Viongozi mbali mbali na Wananchi wakiwaswalia Marehemu Ali Mwinyi Msuko aliyekuwa Katibu msaidizi Mkuu wa Idara ya Uenezi Chama cha Mapinduzi na pamoja na Marium Ramadhan Haji aliyekuwa Mwandishi wa ZBC,maziko yao yalifanyika leo kijijini kwao Uroa Dikoni Wilaya ya Kati Unguja.
4d6e84cc-82a9-4549-b3ed-37874f89c02evvv
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) pamoja na Viongozi mbali mbali na Wananchi wakitikia dua iliyoombwa baada ya maziko ya Marehemu Ali Mwinyi Msuko aliyekuwa Katibu msaidizi Mkuu wa Idara ya Uenezi Chama cha Mapinduzi CCM aliyezikwa leo kijijini kwao Uroa Dikoni Wilaya ya Kati Unguja, [Picha na Ikulu.]

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni