.
.
.
.
.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga
|
TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.
mbani
NYUMBANI
HABARI
SIASA
MICHEZO
BURUDANI
TABASAMU
KIMATAIFA
Jumatatu, 7 Machi 2016
KATIBU MKUU KIONGOZI MPYA AKARIBISHWA RASMI, ATEMBEZWA MAENEO MBALIMBALI IKULU LEO
Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Eng. John Kijazi akiwasili Ikulu Jijini Dar es salaam leo.
Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Eng. John Kijazi akikaribishwa Ofisini kwake na Katibu Mkuu Kiongozi Mstaafu, Balozi Ombeni Sefue, Ikulu Jijini Dar es salaam leo.
Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Eng. John Kijazi akifanya Mazungumzo na Katibu Mkuu Kiongozi Mstaafu, Balozi Ombeni Sefue, Ikulu Jijini Dar es salaam leo. Kushoto ni Katibu Mkuu Ikulu, Peter Ilomo.
Makamu wa Rais, Mh. Samia Suluhu Hassan, akifanya mazungumzo na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Eng. John Kijazi, Ofisini kwake, Ikulu Jijini Dar es salaam leo. Kushoto ni Katibu Mkuu Ikulu, Peter Ilomo.
Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Eng. John Kijazi, akitembezwa maeneo mbali mbali ya Ikulu Jijini Dar es salaam leo.
Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Eng. John Kijazi akizungumza na Baadhi ya Madereva wa Ikulu, wakati akiwa katika ziara ya kutembelea maeneo mbali mbali ya Ikulu, Jijini Dar es salaam leo.
PICHA NA IKULU.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni
Chapisho Jipya
Taarifa za zamani
Nyumbani
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni ( Atom )
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni