Kampuni moja ya Ujerumani itaanza kutoa usafiri wa
treni utakaokuwa ukitumiwa na wanawake tu katika hatua inayochukuliwa
kuwa ni ya utata inayolenga kuwalinda wanawake dhidi ya wahamiaji.
Treni hiyo maalum kwa kuwasafirisha wanawake na
watoto tu, inafuatia kutokea kwa matukio ya mashambulizi ya kingono
kwa wanawake Jijini Cologne usiku wa mwaka mpya, ambayo yanadaiwa
kufanywa na wahamiaji.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni