Rapa mashuhuri nchini Angola amehukumiwa kifungo
cha jela miaka mitano na nusu kwa kupanga uasi dhidi ya rais Jose
Eduardo dos Santos.
Rapa huyo Luaty Beirao alihukumiwa kifungo na
mahakama moja Jijini Luanda, akiwa na watu wengine 16 waliofungwa
kati ya miaka miwili na minane.
Watu hao 17 walikamatwa Juni wakijadili juu ya
kitabu cha kuasi bila ya kufanya ghasia kwenye klabu moja ya vitabu.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni