Mtuhumiwa mmoja Faycal C, ambaye ndiye mtu pekee
aliyekamatwa kwa kuhusishwa na mashambulizi ya mabomu Jijini
Brussels ameachiwa huru kwa kukosa ushahidi.
Vyombo vya Ubelgiji vimemtaja mtuhumiwa huyo
Faycal Cheffou, ambaye ni mtu wa watatu aliyeonekana kwenye picha za
CCTV uwanja wa ndege na watu waliojilipua.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni