.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 25 Machi 2016

KAMPUNI YABUNI BASTOLA INAYOFANANA KILA KITU NA SIMU YA MKONONI

Kampuni moja imebuni bastola ambayo kwa muonekano wa kawaida mtu hawezi kuitambua na kudhani kuwa ni simu ya mkononi tu.

Silaha hiyo ya Ideal Conceal inangojea kuridhiwa na mamlaka husika ikiwa ni bastola ya 380 caliber yenye muonekano wa simu yenye kamera na sehemu ya kuwekea headphone.

Muundo huo wa bastola umewavutia watu wengi ambao wanangojea ianze kutolewa sokoni wanunue, lakini kundi la wapiga silaha linahofu itachochea uhalifu wa silaha.
              Bastola hiyo inavyoonekana baada ya kuifungua tayari kwa kuitumia
           Bastola hiyo inapogeuka kuwa kama simu na kuwekwa mfukoni namna hii

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni