.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 25 Machi 2016

MSAKO MKALI WA POLISI WAFANIKISHA KUKAMATWA WATU SITA UBELGIJI NA MMOJA UFARANSA

Msako wa polisi huko Schaerbeek wilaya ya Jette Jijini Brussels umefanikiwa kukamata watu sita ambao wanadhaniwa kuhusika na mashambulizi ya mabomu ya jumanne kwenye uwanja wa ndege na stesheni ya treni.

Nako nchini Ufaransa polisi wamemkamata mtu mmoja kaskazini mwa Jiji la Paris eneo la Argenteuli ambaye ni mkufunzi wa watu wanaoijiunga na kundi la IS, akiwa katika hatua za mwisho za kufanya shambulizi Ufaransa. 
                                                            Mtuhumiwa aliyekamatwa nchini Ufaransa

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni