Madaktari nchini Kenya
wanashirikiana na Chuo Kikuu cha Uingereza kutengeneza kifaa cha
kupimia macho kwa kutumia simu ya mkononi.
Kifaa hicho cha kuhamishika
kinachotokana na app inayoweza kuingizwa kwenye simu za smartphone kitatumika kupima macho
ya wanafunzi katika kaunti za Kenya, kitakapokamilika.
Ubunifu huo unafanywa na Dk. Hillary
Rono pamoja na timu ya Chuo cha Afya na Magonjwa ya Tropiko cha
London.

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni