Kundi moja la kampeni ya kuzuia
uchafuzi wa hali ya hewa nchini China limebuni filamu ya ajabu na ya
kuchekesha katika kuhamasisha watu kuchukua hatua dhidi ya uchafuzi
wa hewa.
Katika filamu hiyo wanaharakati hao
wameonyesha kufuga nyweli nyingi za ndani ya pua kunasaidia kuchuja
hewa chafu mtu anayovuta.
Filamu hiyo ya China inayotoa
tahadhari ya tatizo la uchafuzi wa hewa na kuonyesha kuwa iwapo watu
hawatobadilika, uchafuzi wa hewa utawabadilisha na kufuga nywele
puani.

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni