Mahakama Kuu ya Afrika Kusini imetoa uamuzi kwamba rais Jacob
Zuma amekiuka katiba baada ya kushindwa kulipa fedha za serikali
alizotumia kujenga nyumba yake ya binafsi.
Mahakama hiyo katika uamuzi huo imeipatia ofisi ya hazina ya
Afrika Kusini kuangalia kiasi atakachopatwa rais Zuma kukirejesha.
Uamuzi huo wa mahakama ni ushindi kwa kambi ya upinzania ambayo
imesema itashinikiza kufanikisha rais Zuma kuondolewa madarakani.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni