.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumamosi, 19 Machi 2016

MBABE HULK HOGAN APATA USHINDI NA KULIPWA FIDIA YA DOLA MILIONI 115

Mwanamieleka Hulk Hogan amezawadiwa na mahakama kiasi cha dola milioni 115, kama fidia ya madhara aliyoyapata baada ya tovuti moja kuvujisha video inayomuonyesha akifanya ngono na rafiki wa mke wake.

Wazee wa ushauri wa mahakama wamemzawadia Hogan dola milioni 55 kwa kuathirika kiuchumi na dola milioni 60 kwa kuathirika kisaikolojia kwa kitendo hicho.

Mbabe huyo wa mieleka Hogan alibubujikwa na machozi mahakamani wakati hukumu hiyo iliyompa ushindi ikitolewa.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni