.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumamosi, 19 Machi 2016

NDEGE YAPATA AJALI URUSI NA KUUWA WATU 55 NA WAFANYAKAZI SITA WA NDEGE

Ndege ya abiria imepata ajali katika mji wa Rostov-on-Don kusinia mwa Urusi na kuuwa abiria 55 pamoja na wafanyakazi sita wa ndege hiyo.

Ndege hiyo ya The FlyDubai Boeing 737-800, ikitokea Dubai, ilikosea kutua kwenye njia yake wakati ikijaribu kutua hii leo.

Haijafahamika mara moja kilichosababisha ajali hiyo hata hivyo hali ya uono hafifu uliosababishwa na upepo mkali unahisiwa kuwa ndio chanzo.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni