Bondia wa zamani wa uzito wa juu
Mike Tyson amesema anamuunga mkono muwania urais wa Marekani
anayeongozwa katika cha cha Republican.
Akihojiwa katika mahojiano mara
mbili katika Jiji la New York Tyson ambaye ni rafiki wa Trump,
alisema anamuunga mkono Trump siku zote na kuongeza kuwa watu
wakampigie kura.
Mike Tyson akiwa na binti yake Milan


Hakuna maoni :
Chapisha Maoni