.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 22 Machi 2016

MILIPUKO YA MABOMU NCHINI UBELGIJI YAIAMSHA DUNIA, KILA PEMBE WAIMARISHA USALAMA

Askari huyu akiwa doria katika uwanja wa ndege wa Frankfurt nchini Ujerumani muda mfupi baada ya kutokea kwa milipuko miwili ya mabomu mjini Brussels nchini Ubelgiji na kuua watu kadhaa na wengine wakijeruhiwa.
Abiria wakiwa wamekwama katika kituo cha treni cha St Pancras mjini London nchini Uingereza baada ya safari zote treni zinazokwenda na kutoka Brussels kufutwa.
Askari wakiwa wameimarisha ulinzi katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa wa Schiphol mjini Amsterdam, Uholanzi
                                                       Hali ilivyo katika uwanja wa ndege wa Frankfurt
Polisi wakifanya ukaguzi nje ya uwanja wa ndege wa Fiumicino Roma, Italia

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni