Padri Honest Munishi akiongoza misa ya kumbukumbu ya marehemu
James Luhanga Jr iliyofanyika siku ya Jumamosi March 19, 2016 katika
kanisa la Mt. Edward Baltimore, Maryland nchini Marekani. Marehemu
James Luhanga Jr alifariki Februari 3, 2016 mkoani Iringa. Picha na
Vijimambo Blog/ kwanza Production.
Ndugu wa marehemu wakipeleka matoleo ya sadaka ya misa ya
kumbukumbu ya mpendwa wao James Luhanga Jr.
Wanafamilia wakifuatilia misa ya kumbukumbu ya mpendwa wao
marehemu James Luhanga Jr. iliyofanyika siku ya Jumamosi March 19,
2016 Baltimore, Maryland nchini Marekani.
Wanafamilia wakifuatilia misa ya kumbukumbu ya mpendwa wao
marehemu James Luhanga Jr. iliyofanyika siku ya Jumamosi March 19,
2016 Baltimore, Maryland nchini Marekani.
Pamela (kushoto) na Eliza Madada wa marehemu James Luhanga Jr.
wakiwa katika picha ya pamoja kama kumbukumbu ya misa ya kumkumbuka
mdogo wao aliyefariki Februari 3, 2016 mkoni Iringa.
Wanafamilia wakipata mlo baada ya kumalizika kwa Misa
Katika picha toka kushoto ni Pamela Luhanga, James Luhanga Sr
na Eliza Luhanga.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni