.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 23 Machi 2016

MKURUGENZI MTENDAJI WA EWURA AMTEMBELEA SPIKA WA BUNGE

D1 
Naibu Spika wa Bunge Dkt Tulia Ackson akizungumza na Wajumbe wa Kamati ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama wakati Kamati hiyo ilipokutana na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa.
D2
Naibu Spika wa Bunge Dkt Tulia Ackson akifuatilia Mjadala kati ya Wajumbe wa Kamati ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa alipoitembelea kamati hiyo. Anayezungumza kushoto kwake ni Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mhe Balozi Adadi Rajabu na (kulia mwenye tai yekundu) ni Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe Charles Kitwaga.
D3
Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa EWURA Bw. Felix Mgamlagosi aliyemtembelea leo ofisini kwake Jijini Dar es Salaam.
D4
Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa EWURA Bw. Felix Mgamlagosi aliyemtembelea leo ofisini kwake Jijini Dar es Salaam. Kulia Ni Afisa Meneja Mahusinao wa EWURA Bw Titus Kaguo.
D5
Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akimsikiliza Meneja Mahusiano wa EWURA Bw Titus Kaguo wakati walipomtemblea Ofisini kwake kati kati ni Mkurugenzi Mtendaji wa EWURA Bw. Felix Mgamlagosi (Picha na Ofisi ya Bunge)

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni