.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 22 Machi 2016

VIONGOZI WA DUNIA WAUNGANA KULAANI MASHAMBULIZI YA BRUSSELS

Viongozi wa dunia wameungana katika kushutumu mashambulizi hatari ya mabomu ya leo asubuhi yaliyouwa watu 31, huku Waziri Mkuu wa Uingereza David Cameron akitoa wito kwa dunia kuungana kuushinda ugaidi.

Waziri Mkuu wa Ubelgiji Charles Michel ameelezea mashambulizi hayo ya Jijini Brussels kuwa ni wakati wa giza kwa taifa hilo, huku Rais Barack Obama na viongozi wengine wakitoa matamko ya haraka kuiunga mkono nchi hiyo.

Rais Obama wa Marekani aliyeziarani nchini Cuba amesema dunia lazima iungane bila ya kujali taifa la mtu, asili yake ama imani yake katika kupambana na magaidi. 
             Rais Barack Obama akitoa hotuba ya kulaani mashambulizi ya Brussels

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni