.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 16 Machi 2016

MLIPUKO WA BOMU WAUWA WATU 15 KWENYE BASI NCHINI PAKISTANI

Watu 15 waliokuwa wakisafiri kwa basi wamekufa kwa mlipuko wa bomu kaskazini magharibi mwa Pakistani katika mji wa Peshawar.

Basi hilo lilikuwa limebeba wafanyakazi wa serikali wanaotokea katika mji mmoja wa karibu.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni