.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 8 Machi 2016

MMISIONARI WA ZAMANI AFUNGWA KWA KUWADHALILISHA WATOTO KENYA

Mmarekani aliyewahikuwa Mmisionari amehukumiwa kifungo cha miaka 40 jela, kwa kuwadhalilisha kingono watoto yatima katika kituo kimoja nchini Kenya.

Mtu huyo Matthew Lane Durham, 21, amekiri kutenda makosa hayo kwa watoto yatima, mahakama ya Marekani imesema.

Durham aliwadhalilisha kingono watoto hao wakati akifanyakazi katika kituo cha yatima cha Upendo Jijini Nairobi nchini Kenya kati ya Aprili na Juni 2014.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni